Sunday, April 29, 2018
Habari kubwa za Magazeti ya TZ leo April 29 2018, Michezo.
Zipora Mollel na Laigwanani Lomayani Mollel kuiwakilisha Tanzania kombe la Dunia 2018 nchini Urusi
Mwezi June 2018 nchini Urusi kutafanyika michuano ya Kombe la Dunia, michuano ambayo inafanyika mara moja kila baada ya miaka minne, Tanzania haijawahi kushiriki michuano hiyo licha ya kuwa na ndoto ya muda mrefu na kufanya jitihada za hapa na pale kutaka kuhakikisha timu inafuzu na kushiriki.
Rj The Dj Ft Barakah The Prince - Bora Iwe (Official Music Video)
Romy Johnson a.k.a RJ THE DJ Kutoka WCB (Wasafi) akiwa
na Barakah The Prince wameachia video ya nyimbo yao mpya inayokwenda kwa jina la BORA IWE
CLICK TO WATCH NEW VIDEO
Subscribe to:
Posts (Atom)