Mwezi June 2018 nchini Urusi kutafanyika michuano ya Kombe la Dunia, michuano ambayo inafanyika mara moja kila baada ya miaka minne, Tanzania haijawahi kushiriki michuano hiyo licha ya kuwa na ndoto ya muda mrefu na kufanya jitihada za hapa na pale kutaka kuhakikisha timu inafuzu na kushiriki.
No comments:
Post a Comment